
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya
Ngege Zanzibar Kepten Saidi Iddi Ndumbugani, kuhusu aina ya Taa mbali
mbali zilizofungwa kwa uongozaji wa Ndege wakati wa ikitua katika
sherehe ya uzinduzi wa Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege
cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja
vya Ngege Zanzibar Kepten Saidi Iddi Ndumbugani, wakati alipofika
kutembelea kuona aina ya Taa mbali mbali zilizofungwa kwa uongozaji wa
Ndege wakati wa ikitua katika sherehe ya uzinduzi wa Taa za kuongozea
Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni
katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha
na Ikulu.]
Aina
ya Taa zilizokuwa mwishoni mwa kiwanja cha ndege cha Karume Pemba
zikiwa na Rangi ya Nyekundu na Buluu ambazo hutoa ishara kwa Kepteni
anayeongoza Ndege ikitua,Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pamoja na Viongozi mbali mbali aliofuatana nao walijionea taa hizo
namna zilivyofungwa katika utaratibu maalum wakati uzinduzi wa Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifungua pazia kama iskara ya Uzinduzi wa Taa za Kuongozea
Ndege katika kiwanja cha Ndege cha Karume Pemba jana ikiwa ni katika
sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na
Mawasiliano Issa Haji Ussi(GAVU),[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya
Ngege Zanzibar Kepten Saidi Iddi Ndumbugani, kuhusu majenereta
yanayotoa umeme baada ya kuzindua rasmi Taa za kuongozea Ndege kwenye
kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]






No comments:
Post a Comment