Kaimu Mkurugenzi Mkuu
wa NHIF bwana Michael Mhando na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana William
Erio wakitia saini makubaliano yatakayowawezesha wajasiliamali
wanaonufaika na fao la hiari la PPF kupata huduma za bima ya afya
kupitia mpango wa kikoa
Mpaka sasa fao la hiari
la PPF lina wanachama 12, 000 ambao hivi karibuni wataanza kunufaika na
mafao yatolewayo na NHIF baada ya kusainiwa kwa makubaliano hayo
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
umeanza kutoa huduma za matibabu kwa wanachama wa VIKUNDI vya
WAJASILIAMALI VILIVYOSAJILIWA ambapo kila mmoja anachangia shilingi
76,800 kwa mwaka na kupata matibabu katika hospitali zaidi ya 6000
zilizosajiliwa na NHIF nchi nzima.
No comments:
Post a Comment