Kada wa CCM Kenedi Mpumilwa
kushoto akipokea fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa CCM mkoa wa
Arusha kutoka kwa katibu msaidizi wa CCM mkoa wa Arusha Omar Billal
mapema leo katika makao makuu ya mkoa(Habari picha na Pamela Mollel wa
jamiiblog)
Kada Mpumilwa akionyesha fomu
yake ya uenyekiti wa CCM mkoa kwa wanahabari mara baada ya kuipokea
kutoka kwa katibu msaidizi wa CCM mkoa
Kada Mpumilwa akisaliamiana na
katibu msaidizi wa mkoa wa Arusha mara baada ya kuingia ofisini kwake
kwaajili ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa mkoa
Kada Mpumilwa akisaini kitabu
cha wageni ofisini kwa katibu msaidizi wa CCM mkoa tayari kuchukua fomu
ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa mkoa wa Arusha
No comments:
Post a Comment