![]() | ||
| BAADA ya Mtangaza nia ya urais wa Marekani kwa tiketi ya Republican Donald Trump kudai kuwa akichaguliwa atawasweka ndani Dkt.Mugabe (pichani) na Rais wa Uganda Yoweri Museveni Mugabe amejibu mapigo. Akizungumza jana kwenye Harambee Jijini Harare, Mugabe alidai kuwa mgombea huyo anafanana kwa kila jambo na Dikteta wa zamani wa Dunia Adolf Hitler. "Huyo (trump) anafanana kwa kila jambo na babu yake Hitler" alisema Mugabe |



No comments:
Post a Comment