
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea na kukagua
chanzo na mtambo wa kuchujia maji unaofadhiliwa na kampuni ya Uchimbaji
ya Geita Gold Mining (GGM) kabla ya kuzindua mtambo huo katika kijiji
cha Nyankanga Mkoani Geita. kushoto Mkurugenzi Mkuu wa GGM Terry
Melpeter, kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa Geita King Msukuma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi
wa kijiji cha Kalangalala Mkoani Geita baada ya kuzindua na kupokea
Magreda yatakayoanza ujenzi wa Barabara ya Geseko itakayoharimu jumla ya
Tshs 1.2 Bl hadi kukamilika. Wa pili kulia Mkuu wa Mkoa Geita Mhe.
Fatma Mwassa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Geita Gold Mining Terry Melpeter kwenye Uwanja wa
Ndege wa GGM Geita baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili ya kukagua
na kuzindua miradi ya maendeleo ya wananchi Mkoani humo leo.




No comments:
Post a Comment