Tanzania imeanzisha zoezi la kufukuza wageni wanaofanya kazi nchini humo kinyume cha sheria.
Wafanyakazi wengi wa kigeni haswa wale wa nchi za jirani,wataathiriwa na uamuzi huo kwani ni vigumu na ghali kupata hati ya muda mrefu ya kufanyia kazi.
Ofisi ya Uhamiaji ya Dar es salaam imesema wanatambua kuwa kuna wahamiaji 350 walioko Jijini Dar es salaam wanaofanya kazi au kufanya biashara bila hati halali kuanzia kwenye maduka makubwa ya Tanzania-Soko la Kariakoo hadi kwenye shule za watu binafsi,Ofisa uhamiaji John Msumule amesema kwamba uchunguzi wao wamegundua kwamba wahamiaji wengi wanakuja nchini kwa viza ya utalii na kuishia kufanya biashara kinyume na sheria ndani ya nchi.
Shule nyingi za watu binafsi wanaajiri walimu kutoka nchi jirani kama Kenya na Uganda.BBC

yes
ReplyDeletewanatakiwa wote waondoke huwezi kuja nyumbani kwangu na kuanza kutamba

ReplyDeleteyes
ReplyDelete