
Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na
Idara Maalum Muh. Haji Omar Kheri akisalimiana na wafanyakazi wa Mamla
ya Maji Zanzibar (ZAWA) mara baada ya kufika Kijiji cha Makunduchi
kufungua mradi wa Miji ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya
Mapinduzi ya Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na
Idara Maalum Muh. Haji Omar Kheri akifungua pazia pamoja na kufungua
Maji kuashiria ufunguzi rasmin wa Mradi wa Maji safi katika Kijiji cha
Makunduchi Mkoa kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka
52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Tenki jipya la kuhifadhia Maji lililopo Makunduchi.
No comments:
Post a Comment