KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 13, 2016

JEROME WA FIFA APIGWA MARUFUKU

Jerome Valcke na aliyekuwa rais wa Fifa Sepp Blatter
Aliyekuwa katibu mkuu wa FIFA Jerome Valcke amepigwa marufuku kushiriki katika soka yoyote kwa kipindi cha miaka 12.
Uamuzi huo umeafikiwa na kamati ya maadili ya shirikisho hilo kufuatia madai ya uovu yanayohusishwa na uuzaji wa tiketi za michuano ya kombe la dunia.
Wakati wa uchunguzi ,visa kadhaa vya uovu vilijitokeza ,ikiwemo matumizi ya nauli,sera na taratibu.
Valcke pia amepigwa faini ya faranga 100,000 za Uswizi ambazo ni sawa na pauni 70,800.

No comments:

Post a Comment