| Mkurugenzi
Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga (kushoto) na Mkurugenzi
wa Vipindi wa kituo hicho, Ruge Mtahaba (kulia) wakimsikiliza kwa
makini Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao,( katikati ) alipokuwa
akifafanua jambo juu ya utendaji mzuri wa kituo Clouds TV na Clouds FM,
wakati alipouongoza Uongozi wa kampuni hiyo
kutembelea
makao makuu ya kituo hicho jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza
mambo mbalimbali na kuendeleza mahusiano mazuri ya kibiashara.
|
No comments:
Post a Comment