KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 11, 2016

YOUNG DEE ATEMBELEA MADUKA YA TIGO NA KUGAWA ZAWADI MBALIMBALI KWA WATEJA NA MASHABIKI ZAKE

New PictureMsanii wa kizazi kipya Young Dee akikabidhi zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa Tigo wa tawi la Makumbusho mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii .
New Picture (1)Msanii wa kizazi kipya Young Dee akifurahi jambo na mmoja wa wateja wa tawi zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa Tigo wa tawi la Makumbusho mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii.
New Picture (2)Msanii wa kizazi kipya Young Dee akifurahi jambo na mmoja wa wateja wa Tigo tawi la Makumbusho baada ya kumkabidhi zawadi ya tisheti mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii .
New Picture (3)Wafanyakazi wa Tigo wa tawi la Makumbusho wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa kizazi kipya Young Dee akiwa mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii .
New Picture (4)Msanii wa kizazi kipya Young Dee akihojiwa na mwandishi Emmanuel Onyango katika Tigo wa tawi la Makumbusho mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii

No comments:

Post a Comment