Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India. |
No comments:
Post a Comment