
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Bara), 
Rajab Luhwavi, akisalimiana na viongozi wa CCM mkoa wa Mbeya baada ya 
kuwasili mkoani hapa, leo, Machi 31, 2016, kuanza ziara ya kikazi. 
Kutoka kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Mwangwi Kundya, Katibu wa 
CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Lobe Zongo na Katibu msaidizi Mkuu wa 
mkoa, Adallah Mayomba.


No comments:
Post a Comment