|
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makala akizungumza na wananchi wa kijiji cha
Luhanga Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya kwa lengo la kutoa tamko la
serikali juu ya ulejeshwaji wa ardhi ya wananchi hao hekta 5000 ambazo
zilichukuliwa na wawekezaji.
|
|
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makala akisisitiza jambo katika Mkutano wa
hadhara ulioitishwa na Mkuu huyo wa Mkoa kwa lengo la kuzungumza na
wananchi wa kijiji cha Luhanga (Hawapo Pichani)Wilayani Mbarali Mkoani
Mbeya .
|
|
Baadhi
ya wananchi wa kijiji cha Luhanga Mbarali Mkoani Mbeya wakimsikiliza
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na Mkuu huyo
wa mkoa(Hayupo Pichani) kwa lengo la kulejeshewa ardhi yao
iliyochukuliwa na wawekezaji .
|
|
Mkutano
ukiendelea katika kijiji cha Luhanga Mbarali kati ya Mkuu wa Mkoa wa
Mbeya na Wananchi wa kijiji hicho ambao walikuwa katika mgogoro mkubwa
wa ardhi na wawekezaji.
|


No comments:
Post a Comment