KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 5, 2016

WAZIRI PROF. MBARAWA ATOA SIKU NNE KWA TRL KUVUNJA UZIO

1
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (katikati), akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Bw. Aggrey Mwanri (kushoto), wakati alipomtembelea ofisini kwake. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini, Bw. Suleiman Kumchaya.
6
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akifafanua jambo  wakati akiongea na Watumishi wa  Taasisi zilizo chini ya Wizara yake Mkoani Tabora.
8
Mkuu wa Wilaya  ya Nzega, Bi. Jacqueline Liana (kulia), akimsikiliza kwa makini Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (katikati), Profesa Makame Mbarawa wakati alipomtembelea ofisini kwake kuhimiza matumizi ya mifumo ya kielektroniki, mawasiliano ya simu na Internet katika Ofisi za Serikali, Wilayani hapo.
2
Muonekano wa kichwa kipya cha Treni kabla ya kuanza safari katika stesheni ya Tabora. Uwepo wa hivyo vipya unatarajiwa kuongeza kasi ya usafirishaji wa abiria na mizigo katika reli ya kati.
3
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akikagua kifaa maalum cha kupimia mafuta kilichofungwa kwenye kichwa kipya cha ya Shirika la Reli Tanzania (TRL), Mkoani Tabora
.

No comments:

Post a Comment