![]() |
| Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akizungumza wakati wa kikao cha wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi. |
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (wa pili
kushoto) akifungua kikao cha Wafanyakazi wote wa ofisi ya Rais –
Utumishi kilichotumika kumpata mfanyakazi bora wa ofisi kilichofanyika
jana alasiri. Wengine ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa
Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Aloyce Msigwa(kushoto), Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi( wa
pili kutoka kulia) na Katibu wa Tawi la TUGHE Utumishi Bw. Ally
Litongolele (kulia).Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Bi. Susan Mlawi akizungumza wakati wa kikao cha wafanyakazi wa
Ofisi ya Rais-Utumishi.![]() |
| Kazi ya kuhesabu kura ya kumpata mfanyakazi bora wa Ofisi ya Rais-Utumishi ikiendelea. |






No comments:
Post a Comment