Watuhumiwa wanaodaiwa kuhusika na 
 Tukio la Ujambazi, wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya 
kukamatwa mchana leo mchana  katika eneo la Kariakoo, Jijini Dar es 
salaam.
Sehemu ya Umati wa watu wakishuhudia tukio la kukamatwa kwa Watuhumiwa hao wanaodaiwa kuhusika na  tukio la Ujambazi.
 
 
No comments:
Post a Comment