![]() |
| Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) Bw. Thomas Samkyi akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu mkakati wa Benki hiyo wa kusaidia utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano kwa kipindi cha kuanzia 2016/17 hadi 2020/21. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Sera Bw. Francis Assenga. |
![]() |
| Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Sera kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) Bw. Francis Assenga (Kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu matarajio ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo katika kusaidia Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa, katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) Bw.Thomas Samkyi na kulia ni Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara Bw. Robert Pascal. |




No comments:
Post a Comment