![]() |
| Afisa Sheria kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Bw. Hemed Lusungu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maboresho ya sheria mbalimbali yanayofanywa na tume hiyo. Kushoto ni Afisa Sheria wa Tume hiyo Bw. Fredy Kandonga. |
![]() |
| Afisa
Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Bw. Fredy Kandonga akifafanua kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tafiti za kisheria
zinazotarajiwa kufanyiwa kazi kwa kipindi cha Mwaka 2016/2017 ikiwemo
Mapitio ya Sheria za Uwekezaji. katikati ni Afisa Sheria kutoka Tume ya
Kurekebisha Sheria Bw. Hemed Lusungu na kulia ni Afisa Habari wa Tume
hiyo Bw. Munir Shemweta.
PICHA NA FATMA SALUM- MAELEZO
|




No comments:
Post a Comment