KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 29, 2016

FRICA DAY ANNUAL GALA DINNER JW MARIOTT HOTEL, WASHINGTON, DC


Kushoto ni Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi akibadilishana mawazo na Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mhe. Prof. Mathilde Mukantabana siku ya Ijumaa May 27, 2016 kwenye maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika iliyofanyika katika hoteli ya JW Mariott Washington, DC. Picha na Vijimambo/Kwanza Production

Kutoka kushoto ni Balozi wa Lesotho nchini Marekani Mhe. Prof. Eliachim Molapi Sebatane, Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi, Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mhe. Prof. Mathilde Mukantabana na Mke wa Balozi wa Ethiopia nchini Marekani Mama Biru wakiongea mawili matatu walipokua kwenye mchapalo kabla ya Gala dinner kuanza.

Kutoka kushoto ni mtangazaji wa FOX NEWS Bi.Maureen Umeh, Mke wa Mhe. Balozi wa Tanzaniani nchini Marekani, Marystela Masilingi na Mhe. Balozi Masilingi wakiwa katika picha ya pamoja.

Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi, mkewe Marystela Masilingi, Mama Birru na mumewe Balozi wa Ethiopia nchini Marekani Mhe. Girma Birru wakiongea jambo

No comments:

Post a Comment