![]() |
| Rais John Pombe Magufuli, akihutubia maelfu ya wafanyakazi na watanzania, leo mjini Dodoma amesema kwamba serikaoi yake haina mpango wa kuwalipa baadhi ya wakurugenzi wa mashirika ya umma mshahara wa zaidi ya mil.15 na ambayo hawezi aache kazi. "Kunzia bajeti inayokuja hakuna mtu atakayeliwa zaidi mil.15, hawezi aache kazi hata leo," alisema huku akisisitiza kwamba serikali yake inaangalia usawa na hali halisi ya uchimi |



No comments:
Post a Comment