Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakiwa
katika maandamano wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Paul Makonda (hayupo pichani) wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya
Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar
es Salaam, leo. Picha na Mafoto Blog



No comments:
Post a Comment