![]() |
"Kwa
wanaomkumbusha mtangazaji mahiri wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD),
enzi hizo (hivi sasa ni TBC), Edda Sanga (kushoto) akinikabidhi tuzo ya
ushindi. Eda ni miongoni mwa watangazaji wanaopaswa kuwa 'darasa' kwa
watangazaji na waandishi wa kizazi cha sasa hasa wasichana na wanawake".
|



No comments:
Post a Comment