Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein leo amemuapisha Radhia Rashid Haroub kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika
hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
{15/05/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Bi,Radhia Rashid Haroub baada ya kumuapisha rasmin leo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ jana katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] {15/05/2016.


No comments:
Post a Comment