KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 2, 2016

MAHAKAMA YAAMURU MEYA WA KINONDONI AKAMATWE

DAR: Mahakama ya Kisutu imetoa hati ya kukamatwa Meya wa Kinondoni, Boniface Jacob baada ya kushindwa kuhudhuria mahakamani kwenye kesi inayomkabili. JF

-Alitakiwa kuhudhuria kesi inayomkabili ya kumpiga na kumjeruhi Mwandishi wa Habari.

No comments:

Post a Comment