![]() |
| Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Singida, Simion Mumbee
amesimamishwa kazi baada ya kudaiwa kutoa taarifa za uongo kuhusu
watumishi hewa.
Katika taarifa
hiyo, Mumbee anadai watumishi hewa 19 waliogundulika kwenye halmashauri
hiyo hawajaisababishia hasara Serikali jambo linalodaiwa kuwa si kweli.
Akizungumza jana kwenye ufunguzi wa kikao cha maendeleo mkoani humo, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mathew Mtigumwe alisema anamsimamisha kazi mkurugenzi huyo ili kupisha uchunguzi. |
May 7, 2016
MKURUGENZI AKIREJEA NYUMBANI KWA MIGUU BAADA YA KUSIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA KULIPA WAFANYAKAZI HEWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment