![]() |
| Mkurugenzi wa taasisi ya Basilla Mwanukuzi foundation na Miss Tanzania 1998 akipokea mwenge wakati wilaya ya Kinondoni ilipopokea mbio za mwenge wa uhuru pamoja na viongozi wa vyama na serikali na wananchi wa kinondoni kwenye uwanja wa shule Bunju jijini Dar es salaam. |
![]() |
| Mkurugenzi wa taasisi ya Basilla Mwanukuzi foundation na Miss Tanzania 1998 aungana na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni pamoja na viongozi wa vyama na serikali na wananchi wa kinondoni katika kuupokea Mwenge wa Uhuru 16/05/2016 kwenye uwanja wa shule bunju |
![]() |





No comments:
Post a Comment