![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akitembelea kukagua ghala la kampuni ya Marenga. |
![]() |
| Mmiliki wa Ghala la kuhifadhia bidhaa mbalimbali za kampuni ya Marenga Investment,Joseph Kimosso akiumuongoza Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky kutembelea maeneo zilipohifadhiwa bidhaa mbalimbali. |
![]() |
| Sehemu ya Mchele ukiwa katika gunia . |
![]() |
| Mmilikiwa ghala la kuihifadhia bidhaa za kampuni ya Marenga Investment,Joseph Kimosso (katikati) akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa Saidi Mecky Sadicky mara baada ya kuwasili katika ghala hilo. |
![]() |
| Sehemu ya bidhaa ya unga ikiwa katika Ghala hilo. |
![]() |
| Sehemu ya Sukari inayozalishwa na kampuni ya sukari ya TPC ikiwa katika mifuko ya kilogramu 2. |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akiwana Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutafungwa wakimngojea mmiliki wa Ghala hilo . |
![]() |
| Mifuko ya Sukari iliyopo katika ghala hilo. |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akiwa katika ghala la kuhifadhia bidhaa mbalimbali la kampuni ya Marenga Investment.kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Wilbroad Mutafungwa. |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akikagua moja ya bidhaa ili kujua endapo muda wake wa matumizi umemalizika ama la. |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akikagua sukari ilifungwa katika mfuko maalum ya uzito wa Kg 2 alipotembelea Super Market ya Marenga iliyopo Kiboriloni mjini Moshi. |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akizungumza na wateja waliofika katika duka la Marenga kwa ajili ya kununua Sukari. |














No comments:
Post a Comment