![]() |
MARA:
Mkuu wa Mkoa, Magesa Mulongo amewasimamisha kazi Maafisa Elimu wa
Halmashauri 6 na Wakurugenzi Watendaji wa halmashauri hizo.
-Amesema wameshindwa kutoa zawadi kwa watumishi bora wa Idara ya Elimu kwa mwaka mmoja hadi miwili hatua ambayo amesema inachangia kushusha ari ya utendaji wa kazi |



No comments:
Post a Comment