KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 2, 2016

TADB YAASWA KUCHAGIZA KUHUSU KILIMO BORA

ta5
Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Paschal (Aliyevaa Koti waliosimama) akiongea na Wakuu wa Idara mbalimbali wa Halmashauri wa Wilaya ya Kilombero kuhusu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania.Picha na Habari na Saidi Mkabakuli
ta4
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero,  Bw. Lephy Gembe (Katikati) akizungumza na maafisa wa kutoka TADB wakati walipomtembelea Ofisini kwake. Wanaomsikiliza ni Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Paschal (Wapili kushoto) na Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa TADB, Bw. Geofrey Mtawa (Kulia) na Afisa Maendeleo ya Biashara Mwandamizi wa TADB, Bw. George Nyamrunda (Kushoto).
ta3
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero,  Bw. Lephy Gembe (Kulia) (Kushoto) akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Paschal wakati walipomtembela Ofisini kwake.
ta2
Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Paschal (Wapili kushoto) akiutambulisha msafara wa maafisa wa TADB waliomtembelea Mkuu wa Wilaya ya Kilombero,  Bw. Lephy Gembe (Katikati). Wengine pichani ni Afisa Maendeleo ya Biashara Mwandamizi wa TADB, Bw. George Nyamrunda (Kushoto) na Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa TADB, Bw. Geofrey Mtawa (Kulia).

No comments:

Post a Comment