Wananchi
wa maeneo ya Banana jijini Dar es Salaam wakiwa katika foleni ya
kujiandikisha na kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF ambapo
jumla ya wanachama 160 walijiandikisha katika eneo hilo. Katika eneo la
Mwembeyangawanachama wapya 214 walijiandikisha na Mbagala 132 na kufanya
jumla ya wanachama wapya 506 walijiandikisha.
Elimu ikizidi kutolewa kwa wananchi kuhusu Hifadhi ya Jamii.
Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiweka alama ya dole gumba baada ya kujiunga na NSSF.
Wananchi wakiendelea kujiandikisha.
Afisa
Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Aisha Sango akitoa elimu kuhusu Hifadhi ya Jamii kwa wanachi
waliojitokeza katika banda la NSSF.
Wananchi wakisubiri kujiandikisha.








No comments:
Post a Comment