![]() |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Japani, Balozi Mathis Chikawe, baada ya mazungumzo yao |
![]() |
Balozi
wa Tanzania nchini Urusi, Balozi Mathew Kisamba akisaini kitabu cha
wageni, alipofika kumuaga Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya
Kikwete, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salaam, jana
|
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Balozi Mathew Kisamba alipofika kumsalimia katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, jana, Mei 9, 2016. |






No comments:
Post a Comment