![]() |
| Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo naye ofisini kwake Mjini Dodoma. |
![]() |
| Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda ofisini kwake Mjini Dodoma. |
![]() |
| Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Simon Msanjila ofisini kwake Mjini Dodoma. |
![]() |
| Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipozungumza naye ofisini kwake Mjini Dodoma. |






No comments:
Post a Comment