![]() |
| Brasbendi ya Chipkizi ikiongoza matembezi ya wauguzi yakipita katika maeneo ya Kisonge kuelekea Studio za Rahaleo ambapo sherehe hizo ziliadhimishwa rasmi. |
![]() |
| Waandamanaji wakiingia kwa furaha eneo la Studio za Rahaleo ambapo sherehe za siku ya Wauguzi Duniani ziliadhimishwa. |
![]() ![]() |
| Waziri wa Afya Mhmoud Thabit Kombo aliemuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar akisoma hotuba katika maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani yaliyofanyika Ukumbi wa Sanaa Rahale Mjini Zanzibar. |
![]() |
Picha ya pamoja ya baadhi ya viongozi wa wauguzi na Mgeni rasmi, Waziri wa Afya Mhmoud Thabit Kombo.
Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanziba
|







No comments:
Post a Comment