KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 27, 2016

MKUTANO WA KIKAO KAZI CHA WAFANYAKAZI,MAENDELEO YA JAMII CHAFANYIKA DAR ES SALAAM

New Picture
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Bibi Sihaba Nkinga akifungua Mkutano wa watumishi wa Wizara (hawapo pichani) walioshiriki kikao kazi cha watumishi wote katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam, ikiwa ni sehemu ya kuhitimisha Wiki ya Utumishi wa Umma katika Sekta ya Maendeleo ya Jamii. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Raslimaliwatu Erasmus T. Rugarabamu na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE wa Tawi Edwin B. Mtembei. (Tarehe 24/6/2016).
Pcha na Mpiga Picha Wetu

No comments:

Post a Comment