![]() |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company cha Mlandizi Mkoani Pwani, wakati alipokitembelea Julai 12, 2016. Kulia kwake ni mmiliki wa kiwanda, Mohammed Kiluwa. |
![]() |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company cha Mlandizi Mkoani Pwani, wakati alipokitembelea Julai 12, 2016.Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto kwake ni mmiliki wa kiwanda, Mohammed Kiluwa. |
![]() |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company cha Mlandizi Mkoani Pwani, wakati alipokitembelea Julai 12, 2016. |
![]() |
| Baadhi ya wakazi wa Mlandizi mkoani Pwani waliofika kwenye kiwanda cha nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company Limited wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokitembelea Julai 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |






No comments:
Post a Comment