
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Prof.Saber
Waheeb,Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Chuo
Kikuu cha El-Shatby kiliopo Alexandria nchini Misri,walipofika ikulu
mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 20/08/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa
Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha El-Shatby kiliopo
Alexandria nchini Misri,ukiongozwa na Prof.Saber Waheeb (wa pili kulia)
leo ulipofika ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 20/08/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Prof.Saber
Waheeb,Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Chuo
Kikuu cha El-Shatby kiliopo Alexandria nchini Misri,baada ya mazungumzo
walipofika ikulu mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 20/08/2016.
No comments:
Post a Comment