
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akipokea ripoti ya
utekelezaji wa zoezi la Usajili watumishi wa Umma toka kwa Afisa Usajili
mkoa wa Dodoma Bwana Khalid Mrisho.

Afisa Utawala Bi. Salma Mohamed
toka ofisi ya Wakala wa Geolojia (GST) akihakiki orodha ya watumishi
wake ambao hawajasajiliwa Vitambulisho vya Taifa, kufuatia agizo la
Serikali la kila mtumishi wa Umma kuwa amesajiliwa kufikia Oktoba 31,
2016. Pembeni ni Bi.Rehema Kionaumela Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uratibu
Wilaya NIDA

Afisa Usajili NIDA Bw. Devis
Lubago, akimsajili na kuchukua alama za kibaiolojia mtumishi wa Umma
aliyefika ofisi za NIDA Dodoma kukamilisha usajili.


No comments:
Post a Comment