Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016,sherehe ya kuwazawadia wanafunzi hao iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22/10/2016.

Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa
kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa
Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016,wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza nao leo katika sherehe maalum ya kuwazawadia
wanafunzi hao iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
22/10/2016.

Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa
kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa
Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei mwaka- 2016,wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza nao leo katika sherehe maalum ya kuwazawadia
wanafunzi hao iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
22/10/2016.

No comments:
Post a Comment