
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL Group,Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya, (wapili kulia )akisisitiza jambo wakati wa mkutano Mkuu wa 43 wa wanahisa uliofanyika leo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam.kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa TBL Group
Roberto Jarrin, wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa fedha wa TBL
Group Wayne Hall na kulia ni Katibu wa TBL Group Huruma Ntahena.

Mkurugenzi
Mkuu Mtendaji wa TBL Group Roberto Jarrin (kushoto) akimsikiliza kwa
makini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL Group,Waziri Mkuu
Mstaafu, Cleopa David Msuya, wakati wa mkutano Mkuu wa 43 wa wanahisa uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa TBL Group Roberto Jarrin, (wapili kutoka kushoto)akifafanua jambo wakati wa mkutano Mkuu wa 43 wa wanahisa uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam ,kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
TBL Group,Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya.Kushoto ni Mkurugenzi
wa fedha wa TBL Group Wayne Hall na kulia ni Katibu wa TBL Group Huruma
Ntahena.


No comments:
Post a Comment