KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org

TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 25, 2016

ZIARA YA MFALME WA MOROCCO KATIKA PICHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakilakiwa na wafanyakazi pamoja na wageni mbalimbali katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakipigiwa  ngoma pamoja na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam kushuhudia uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga wakisoma muhtasari wa shudhuli  katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya  uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakimsikiliza  Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage  katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya  uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.
 Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Morocco Mhe. Salahddine Mezour akiongea

No comments:

Post a Comment