WAFANYAKAZI WA NMB,TAWI LA NELSON MANDELA WATOA MSAADA NA ZAWADI KWA WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KILIMANJARO,MAWENZI.
Meneja
wa Benki ya Nmb tawi la Nelson Mandela mjini Moshi,Emanuel Kishosha
akikabidhi msaada wa vitendea kazi kwa ajili ya usafi kwa kaimu mganga
mfawidhi wa Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ,Mawenzi Dkt
Josephat Boniface.
No comments:
Post a Comment