
Kamishna Jenerali wa Magereza,
CGP- John Casmir Minja(kushoto) akipokea salaamu ya heshima kutoka kwa
Afisa wa Jeshi la Magereza Mkoani Kilimanjaro alipowasili Mkoani humo
katika ziara ya kikazi ambapo atafanya ukaguzi wa eneo la mradi wa
Uwekezaji wa Kiwanda kipya cha Viatu Gereza Karanga, Moshi ambapo mradi
huo ni wa ubia baina ya Shirika la Magereza na Mfuko wa Jamii wa PPF,
leo Oktoba 13, 2016.

Kamishna Jenerali wa Magereza,
CGP- John Casmir Minja akisalimiana na Mkuu wa Magereza Mkoani
Kilimanjaro, ACP. Anderson Kamtearo mara baada ya kuwasili Mkoani
Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi.



No comments:
Post a Comment