KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 13, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KASSIM MAJALIWA WAAGANA NA KIONGOZI MKUU WA MADHEHEBU YA BOHORA DUNIANI MTUKUFU DKT. SYEDNA MUFADDAL SAIFUDDIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM OKTOBA 13,2016

4
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akimuomba Dua kwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kassim Majaliwa wakati alipofika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi Mchango wake wa kusaidia maafa ya Kagera Oktoba 13,2016
3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akikabidhi mfano wa hundi kwa ajili ya kusaidia maafa ya waathirika wa tetemeko la ardhi Mkoani Kagera Ikulu jijini Dar es salaam kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin amekabidhi hundi zenye jumla ya USD 250
2
1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akimpokea kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam.   

No comments:

Post a Comment