RAIS MAGUFULI ALIPOKUTANA NA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI WAITARA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi
jambo baada ya kupokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majeshi
Mstaafu Jenerali George Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es
salaam Oktoba 12, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George
Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2016
No comments:
Post a Comment