Askofu wa kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) dayosisi
ya Iringa Dkt Owdenburg Mdegela katikati akiwatambulisha mbele ya
waumini wa kanisa kuu askofu mteule wa dayosisi hiyo mchungaji
Blaston Gavile (wa pili kushoto) na mkewe pamoja na msaidizi wa askofu
huyo mchungaji Himid Saga (wa pili kulia) na mkewe
Askofu
wa Dododa Mwamasika kushoto akiwa na askofu mteule wa dayosisi ya
Iringa Blaston Gavile na mkewe wakimsikiliza askofu wa dayosisi hiyo
Dkt Mdegela
No comments:
Post a Comment