Kamanda
Mohamed Mpinga akipokea "Birthday Surprise Cake " kutoka kwa Mwenyekiti
wa RSA -Arusha Bi. Stella Rutaguza katika hafla ya Siku ya kuzaliwa
kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika
katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
Kamanda
Mohamed Mpinga akikagua "Birthday Surprise Cake " aliyopewa na Mwenyekiti
wa RSA -Arusha Bi. Stella Rutaguza katika hafla ya Siku ya kuzaliwa
kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika
katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
Kamanda
Mohamed Mpinga akipokea Chupa ya Shampeni kutoka kwa Makamu Mwenyekiti
wa RSA -Arusha Bw. Bakari Msangi katika hafla ya Siku ya kuzaliwa
kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika
katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.

No comments:
Post a Comment