| Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
John Kijazi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na
viongozi wengine wakipunga mikono kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere wakati akianza safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa
ziara ya kiserikali ya siku mbili Oktoba 31, 2016 |
No comments:
Post a Comment