Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Mke wa Rais Mstaafu
Mama Salma Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani
Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo jana
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Bw. Mohamed Kikwete
alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyojana . Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Majid Hemed Mwanga.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akifariji wana familia wa Bibi
Maguno Binti Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho
Kikwete kwenye msiba wa shemejie (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam
Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo jana
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akimfariji Bibi Maguno Binti
Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye
msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi
aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo jana.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama
Salma Kikwete (kulia) akimfariji Bi Maguno Binti Athumani ambaye ni
mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji
yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Saburi aliyefariki jana na kuzikwa
huko Bagamoyo jana.
Mawaidha yakitolewa msibani
Bw. Yusuph Kikwete akielekeza waombolezaji sehemu ya kukaa wakati wa msiba huo
Rais
Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mnbunge wa Chalinze Mhe
Ridhiwani Kikwete alipowasili kwenye msiba wa shemeji yake (Rais
Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa
huko Bagamoyo jana.
Rais
Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mkwewe Bi Maguno Binti
Athumani kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam
Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo jana
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiongea jambo na Mke wa Rais
Mstaafu Mama Salma Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu)
Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko
Bagamoyo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa mkono wa pole Rais Mstaafu Jakaya
Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu
Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo jana
Rais
Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na waombolezaji wengine kwenye msiba wa
shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi
aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo jana.














No comments:
Post a Comment