
Mtaalam kutoka kituo cha kupokea
gesi kutoka Madimba na Songosongo kabla ya kusafirishwa kwenda Dar es
Salaam cha Somanga Fungu, Mhandisi Kelvin Kasian (kulia) akimwonesha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa
(kushoto) mabomba ya gesi katika kituo hicho. (hayapo pichani)

Mabomba ya kupokea gesi kutoka
Madimba na Songosongo kabla ya kusafirishwa kwenda Dar es Salaam katika
kituo cha Somaga Fungu kama yanavyoonekana pichani.

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la
Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Mhandisi Kapuulya Msomba (kushoto)
akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,
Profesa Justin Ntalikwa (katikati) katika kituo cha kupokea gesi
kutoka Madimba na Songosongo kabla ya kusafirishwa kwenda Dar es Salaam
cha Somanga Fungu.


No comments:
Post a Comment