KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 11, 2016

MSHINDI WA JIONGEZE NA M-PAWA AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina(katiktai) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa,Ayubu Kalufya(kushoto), wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza, kulia ni Meneja wa duka la kampuni hiyo mkoani humo Jumeo Khamis.

Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina,akionyesha mfano wa hundi,kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza.


No comments:

Post a Comment